Amini Mitume Wake

Sura ya Biblia ya kila siku

Majadiliano

Wakati wa Kusoma: Less than one minute Sikiliza Mtandaoni Right arrow icon

1 Tazama, enyi watumishi wa Bwana, Mhimidini Bwana, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya Bwana. 
Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi Bwana. 
Bwana akubariki toka Sayuni, Aliyezifanya mbingu na nchi.

See Previous Reading See Next Reading

JIUNGE NA MJADALA